MUHIMU KUSOMA;

KARIBU KWENYE SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA OKTOBA 2017.

Habari rafiki? Napenda kuchukua nafasi hii kukupa taarifa za semina ya KISIMA CHA MAARIFA itakayofanyika mwezi oktoba mwaka 2017. Semina ...

KISIMA CHA MAARIFA

KISIMA CHA MAARIFA ni mtandao ambao unakupatia maarifa mbalimbali ya kuweza kuboresha maisha yako.
Kupitia KISIMA CHA MAARIFA utapata mbinu nzuri za kuweza kufikia MAFANIKIO MAKUBWA kwenye maisha yako.
Ili kuweza kupata mbinu na mafunzo mbalimbali yanayotolewa kwenye KISIMA CHA MAARIFA ni lazima uwe mwanachama.
Kwenye KISIMA CHA MAARIFA kuna uanachama wa aina tatu.
1. BRONZE MEMBER, kupitia uanachama huu utaweza kusoma makala mbili kila wiki, moja ya KUJENGA TABIA ZA MAFANIKIO na nyingine ya BIASHARA NA UJASIRIAMALI. Pia utaweza kuingia kwenye FORUM na kusoma au kuchangia mada mbalimbali.
Ada ya kujiunga na uanachama huu ni tsh elfu kumi(10,000/) na ni ada ya mwaka mmoja.
2. SILVER MEMBER, kupitia uanachama huu utaweza kusoma makala za, TABIA ZA MAFANIKIO, UJASIRIAMALI/BIASHARA na UCHAMBUZI WA VITABU. Pia utaweza kuingia kwenye FORUM tatu na kuachangia au kusoma.
Ada ya uanachama huu ni tsh elfu thelathini(30,000/=) na ni ada ya mwaka mmoja.
3. GOLD MEMBER, kupitia uanachama huu utapata makala; TABIA ZA MAFANIKIO, UJASIRIAMALI/BIASHARA, UCHAMBUZI WA VITABU,  WORLD CLASS PERFORMANCE na KUDOWNLOAD AUDIO BOOKS NA VIDEOS. Pia utaweza kuingia kwenye forum nne na kuchangia au kusoma.
Ada ya uanachama huu ni tsh elfu hamsini (50,000/=) kwa mwaka mmoja.

JINSI YA KUJIUNGA NA KISIMA CHA MAARIFA.

Kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA jaza fomu ya kujiunga kwa kuweka taarifa zako sahihi.  Baada ya kujaza fomu nenda kwenye email yako na utakuta taarifa zako utakazotumia kuingia kwenye KISIMA CHA MAARIFA. Utaweza kulog in kwenye KISIMA CHA MAARIFA ila hutaweza kusoma makala yoyote mpaka utakapolipia uanachama.
Kulipia uanachama tuma fedha ya uanachama unaotaka kujiunga(BRONZE-10,000/= SILVER-30,000/= au GOLD-50,000/=) kwenda kwenye namba zifuatazo; MPESA 0755953887, TIGO PESA 0717396253 Kama una AIRTEL MONEY unaweza kutuma moja kwa moja kwenye namba ya tigo-0717396253.
Ukishatuma fedha hizo utatuma ujumbe wenye jina lako na email yako kwenye moja ya namba hizo ili uweze kuwekwa kwenye uanachama husika.
BONYEZA HAPA KUJAZA FOMU YA KUJIUNGA
Karibu sana kwenye KISIMA CHA MAARIFA ambapo utajifunza mambo mengi sana yatakayokuwezesha kufikia MAFANIKIO MAKUBWA KWENYE MAISHA YAKO.

10 comments:

USIACHE KUWEKA MAONI YAKO HAPA.

© 2013 AMKA MTANZANIA. WP Theme-junkie converted by BloggerTheme9
Blogger templates | Distributed By: BloggerBulk Proudly Powered by Blogger.
back to top