MUHIMU KUSOMA;

KARIBU KWENYE SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA OKTOBA 2017.

Habari rafiki? Napenda kuchukua nafasi hii kukupa taarifa za semina ya KISIMA CHA MAARIFA itakayofanyika mwezi oktoba mwaka 2017. Semina ...

UJUMBE WA HAMASA

Sasa Unaweza kupata UJUMBE MZURI WA HAMASA kila siku asubuhi kabla hujaianza siku yako.
Ujumbe huu unatumwa moja kwa moja kwenye namba yako ya simu ya mkononi.
Utapokea ujumbe huu popote pale ulipo na huhitaji kuw ana mtandao wa intaneti.

Kwa nini ni muhimu kupokea ujumbe huu?

1. Utaianza siku ukiwa na mtazamo chanya.
2. Utaianza siku ukiwa unajiamini.
3. Utaianza siku yako mapema, ujumbe unatumwa saa kumi na mija asubuhi.
4. Utaondokana na hali ya kukata tamaa, kw akupata mawazo ya tifauti.

Mchango wa kupata ujumbe huu.

Ili kupata ujumbe huu kila siku, unaitaji kuchangia kiasi kidogo cha gharama ambayo ni tsh 170/= kwa siku. Ambayo utailipa yote kwa mwezi na ada hiyo ni sawa na tsh 5,000/=.
Hivyo kuhakikisha unapata ujumbe huu kila siku, unahitaji kulipia tsh elfu tano kabla ya tarehe moja au siku ya tarehe moja ya mwezi. Malipo yanafanyika kwenye namba zifuatazo;
M Pesa 0755 953 887
Tigo pesa/Airtel Money 0717 396 253
Namba hizo zinaonesha jina AMANI MAKIRITA.
Karibu sana kwenye mfumo huu mpya wa kupata ujumbe ambao utakusukuma wewe kufikia mafanikio makubwa.
Kujiunga na mpango huu wa UJUMBE WA HAMASA, jaza hiyo fomu hapo chini.0 comments:

USIACHE KUWEKA MAONI YAKO HAPA.

© 2013 AMKA MTANZANIA. WP Theme-junkie converted by BloggerTheme9
Blogger templates | Distributed By: BloggerBulk Proudly Powered by Blogger.
back to top