MUHIMU KUSOMA;

KARIBU KWENYE SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA OKTOBA 2017.

Habari rafiki? Napenda kuchukua nafasi hii kukupa taarifa za semina ya KISIMA CHA MAARIFA itakayofanyika mwezi oktoba mwaka 2017. Semina ...

KUHUSU NA HUDUMA

KUHUSU SISI;

Amka Mtanzania ni mtandao(blog) ya kijamii inayotoa mafunzo na habari kwa watanzania jinsi ya kuchukua hatua juu ya maisha yao. Kupitia mtandao huu utapata maarifa yatakayokuwezesha kuboresha kazi zako, biashara zako na maisha yako kw aujumla. Mtandao huu utakuandaa wewe kuweza kufikia mafanikio makubwa kwenye jambo lolote unalofanya kwenye maisha yako.
Amka Mtanzania pia inatoa mafunzo na ushauri wa biashara.
Amka mtanzania inahamasisha watanzania kuweza kujua uwezo wao na vipaji vyao na jinsi ya kuvitumia ili kuweza kufikia malengo waliyojiwekea maishani. 


HUDUMA ZETU;

 
Kama umependezwa na unayoyasoma kwenye blog hii unaweza kupata huduma nyingine nyingi zaidi. 
  Huduma unazoweza kupata ni zifuatazo;
1. Ushauri wa biashara na Masoko

2. Mafunzo ya biashara, matumizi ya muda na maendeleo binafsi kwa mtu mmoja mmoja au wafanyakazi 

2. Ushauri binafsi wa kimaisha.

3. Kuandikiwa post kwa blog kutokana na maudhui ya blog yako.

4. Uandishi wa makala mbalimbali za maisha, biashara na ujasiriamali.

5. Masoko ya kwenye mitandao ya kijamii(social media marketing)

6. Content Marketing,  Kama una website ama blog ya kampuni ama biashara yoyote na unataka ionekane kwenye ukurasa wa kwanza wa google utapatiwa huduma ya contents zinazoendana na SEO(search engine optimization) kulingana na biashara ama chochote unachotaka watu wakipate kutoka kwenye website ama blog yako. 
7. Blog setting and maintanance, Kama una blog ila haipo kwenye muonekano mzuri unaweza kupata huduma ya kuiset blog yako vizuri, kuongeza widget mbalimbali na pia kuiunganisha na mitandao ya kijamii moja kwa moja(ukishaweka post inakwenda moja kwa moja facebok, twitter n.k). Pia utapata huduma za kuongeza thamani ya blog yako na kuongeza watembeleaji.


           MAWASILIANO 

Kwa mawasiliano zaidi juu ya chochote kuhusiana na blog hii wasiliana na Makirita Amani, mwendeshaji wa blog hii kwa mawasiliano yafuatayo;
SIMU; +255717396253 
     AU +255755953887
EMAIL; amakirita@gmail.com
FACEBOOK; Makirita Amani

KARIBU SANA TUFANYE KAZI PAMOJA KWA MAFANIKIO YAKO. 

3 comments:

USIACHE KUWEKA MAONI YAKO HAPA.

© 2013 AMKA MTANZANIA. WP Theme-junkie converted by BloggerTheme9
Blogger templates | Distributed By: BloggerBulk Proudly Powered by Blogger.
back to top