MUHIMU KUSOMA;

SEMINA; Elimu Ya Msingi Ya Fedha (Basic Financial Education).

Habari za leo rafiki yangu, Mwanzoni mwa mwaka huu 2017 niliendesha semina yetu ya kwanza ya mwaka 2017 kwa njia ya mtandao. Na nilikua...

Monday, October 6, 2014

Hivi Ndivyo Ndoto Zako Zinaweza Kuwa Kweli.

Posted by Makirita Amani  |  at  Monday, October 06, 2014 No comments

Dreams do not come true just because you dream them.
It’s hard work that makes things happen.
It’s hard work that creates change…
Ditch the dream and be a doer, not a dreamer.

Ndoto zako hazitakuwa kweli kwa sababu tu umeota,
Ni kufanya kazi kwa juhudi ndio kunafanya mambo yatokee,
Ni kufanya kazi kwa juhudi ndio kunaleta mabadiliko.
Acha kuota na kuwa mtendaji, sio muotaji tu.

Nakutakia kila la kheri,
TUPO PAMOJA.

KUHUSU AMKA MTANZANIA

AMKA MTANZANIA ni mtandao unaokuhamasisha wewe mtanzania kuchukua hatua juu ya maisha yako. Kupitia mtandao huu utajifunza na kuhamasika ili uweze kuchukua hatua ya kufikia mafanikio makubwa. Kama unataka kutumiwa makala nzuri na vitabu moja kwa moja kwenye email yako, BONYEZA MAANDISHI HAYA na ujaze fomu. KARIBU SANA UJIFUNZE NA KUHAMASIKA

Pata Makala Inapotoka

Weka email yako hapa na uwe wa kwanza kupata makala nzuri inapowekwa kwenye mtandao huu.

Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri

Makala Zinazohusiana na Hii

0 comments:

USIACHE KUWEKA MAONI YAKO HAPA.

© 2013 AMKA MTANZANIA. WP Theme-junkie converted by BloggerTheme9
Blogger templates | Distributed By: BloggerBulk Proudly Powered by Blogger.
back to top