MUHIMU KUSOMA;

Vitu Viwili Unavyopaswa Kuwekeza Ili Kuweza Kutengeneza Kipato Kwenye Intaneti.

Habari rafiki? Sheria ya asili inasema kila mtu anavuna kile alichopanda, na hiyo ipo wazi kwenye kila jambo tunalofan...

Thursday, April 3, 2014

Sasa Unaweza Kujiunga Na Kisima Cha Maarifa Kwa Kutumi Email Yoyote.

Posted by Makirita Amani  |  at  Thursday, April 03, 2014 No comments

Kisima cha maarifa kinaendelea kuwapatia watu maarifa mbalimbali ya kujikwamua kimaisha. Mafunzo ya biashara, mtandao na mengine mengi yanatolewa kwenye kisima cha maarifa.

  Pia sasa hivi ndani ya KISIMA CHA MAARIFA kuna forum ndogo kwa ajili ya majadiliano. Unaweza kuanzisha mjadala au kuchangia mjadala uliopo ili kuweza kusaidiana kupambana na changamoto tunazokutana nazo kila siku.

  Tofauti na nilivyosema awali kwamba unahitaji kuwa na email ya google yaani gmail, hivi sasa unaweza kujiunga na kisima cha maarifa kwa kutumia email yoyote uliyonayo. Iwe unatumia  yahoo, outlook, hotmail au hata email ya kampuni yako unaweza kuitumia kujisajili kwenye kisima cha maarifa.

  Kujiunga na kisima cha maarifa tuma fedha tsh elfu kumi(10,000/=) kwenda namba 0717396253 au 0755953887 na kisha utume email yako ili uweze kuunganishwa. Baada ya kutuma email utatumiwa invitation ya kusoma blog kwenye email yako. Unachotakiwa ni kukubali invitation hiyo na baada ya hapo utaweza kujisomea blog kwa muda wowote unaotaka.

  Fedha hii unailipa mara moja tu na unakuwa mwanachama wa kudumu. Fedha unayolipa ni ndogo sana kulingana na elimu utakayopata. Nimeweka ndogo hivi ili watu wengi zaidi waweze kupata elimu hii. Baaada ya muda mfupi fedha ya kujiunga itaongezeka hivyo kama unampango wa kujiunga na kisima fanya hivyo mapema kabla ada haijapanda.

kitabu kava tangazo 

Nakutakia kila la kheri katika harakati zako za kuboresha maisha yako. Tuko pamoja.

KUHUSU AMKA MTANZANIA

AMKA MTANZANIA ni mtandao unaokuhamasisha wewe mtanzania kuchukua hatua juu ya maisha yako. Kupitia mtandao huu utajifunza na kuhamasika ili uweze kuchukua hatua ya kufikia mafanikio makubwa. Kama unataka kutumiwa makala nzuri na vitabu moja kwa moja kwenye email yako, BONYEZA MAANDISHI HAYA na ujaze fomu. KARIBU SANA UJIFUNZE NA KUHAMASIKA

Pata Makala Inapotoka

Weka email yako hapa na uwe wa kwanza kupata makala nzuri inapowekwa kwenye mtandao huu.

Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri

Makala Zinazohusiana na Hii

0 comments:

USIACHE KUWEKA MAONI YAKO HAPA.

© 2013 AMKA MTANZANIA. WP Theme-junkie converted by BloggerTheme9
Blogger templates | Distributed By: BloggerBulk Proudly Powered by Blogger.
back to top