MUHIMU KUSOMA;

KARIBU KWENYE SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA OKTOBA 2017.

Habari rafiki? Napenda kuchukua nafasi hii kukupa taarifa za semina ya KISIMA CHA MAARIFA itakayofanyika mwezi oktoba mwaka 2017. Semina ...

Monday, March 24, 2014

Zimebaki Siku Chache Za Kujipatia Kitabu Kwa Nini Mpaka Sasa Wewe Sio Tajiri.

Posted by Makirita Amani  |  at  Monday, March 24, 2014 No comments

Kitabu KWA NINI MPAKA SASA WEWE SIO TAJIRI kilipangwa kutolewa kwa bei ya shilingi elfu tano ambayo ni sawa na bure ukilinganisha na mafundisho yake kwa mwezi mmoja. Baada ya mwezi mmoja bei ya kitabu hiko itakuwa shilingi elfu kumi. Sasa zimebaki siku saba kabla ya mwezi huu wa tatu kuisha na bei hiyo ya awali kufika kikomo.

                kitabu kava2

  Sababu kubwa ya kukitoa kwa bei ndogo na kuja kuweka bei halisi baadae ilikuwa kusaidia watanzania wengi kupata kitabu hiki. Lengo kubwa la kitabu hiki ni kuwasaidia watanzania kujiondoa kwenye hali ya umasikini. Hivyo kwa mwezi mmoja mtanzania yeyote aliyekuwa na nia ya kukipata kitabu hiki ameshafanya hivyo. Baada ya mwezi huu mmoja kitabu hiki kitaanza kuuzwa kwa bei yake halisi.

  Kama ulipanga kujipatia kitabu hiki fanya hima kukipata kabla mwezi huu wa tatu haujaisha. Kuna siku saba kabla ya mwezi huu kuisha, kama una mpango wa kupata kitabu hiki jipatie nakala yako haraka kabla muda haujaisha.

            kitabu kava3

  Kitabu, KWA NINI MPAKA SASA WEWE SIO TAJIRI kinaelezea sababu ishirini na tano zinazokufanya uendelee kuwa masikini na ushindwe kufikia utajiri. Ndani ya kitabu hiki sababu hizo zimeelezewa vizuri na pia imetolewa njia ya kuepuka sababu hizo.

  Hiki ni kitabu ambacho hutakiwi kukikosa kwa sababu kitakusaidia kufanikiwa kwenye maisha, kazi na hata biashara unazofanya.

  Kupata kitabu hiki tuma fedha tsh elfu tano kwa Mpesa(0755953887) au tigo pesa(0717396253) kisha tuma email yako na utatumiwa kitabu. Kitabu hiki kipo katika mfumo wa softcopy(PDF) hivyo unaweza kukisoma kwenye compyuta au simu yenye uwezo wa kusoma kitabu.

  Jipatie kitabu hiki mapema kabla punguzo hili la bei halijakwisha siku chache zijazo. Kwa maelezo zaidi kuhusu kitabu hiki bonyeza maandishi haya.

  Nakutakia kila la kheri katika harakati zako za mafanikio, tuko pamoja.

KUHUSU AMKA MTANZANIA

AMKA MTANZANIA ni mtandao unaokuhamasisha wewe mtanzania kuchukua hatua juu ya maisha yako. Kupitia mtandao huu utajifunza na kuhamasika ili uweze kuchukua hatua ya kufikia mafanikio makubwa. Kama unataka kutumiwa makala nzuri na vitabu moja kwa moja kwenye email yako, BONYEZA MAANDISHI HAYA na ujaze fomu. KARIBU SANA UJIFUNZE NA KUHAMASIKA

Pata Makala Inapotoka

Weka email yako hapa na uwe wa kwanza kupata makala nzuri inapowekwa kwenye mtandao huu.

Washirikishe Wengine Makala Hii Nzuri

Makala Zinazohusiana na Hii

0 comments:

USIACHE KUWEKA MAONI YAKO HAPA.

© 2013 AMKA MTANZANIA. WP Theme-junkie converted by BloggerTheme9
Blogger templates | Distributed By: BloggerBulk Proudly Powered by Blogger.
back to top